詩篇 54 – CCBT & NEN

Chinese Contemporary Bible (Traditional)

詩篇 54:1-7

第 54 篇

祈求上帝的拯救

西弗人去告訴掃羅:「大衛藏在我們那裡」,那時大衛作了這首訓誨詩,交給樂長,用弦樂器。

1上帝啊,

求你憑你的名拯救我!

求你用你的大能為我伸冤!

2上帝啊,求你垂聽我的禱告,

留心我口中的話。

3因為傲慢的人起來攻擊我,

目無上帝的暴徒正尋索我的性命。(細拉)

4看啊,上帝幫助我,主扶持我,

5祂必使我的仇敵自作自受。

信實的上帝啊,

求你毀滅他們。

6耶和華啊,

我甘心樂意獻上祭物,

我要讚美你的名,

因為你的名是美善的。

7你拯救我脫離一切艱難,

讓我傲視仇敵。

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)

Zaburi 54:1-7

Zaburi 54

Kuomba Ulinzi Wa Mungu Kutokana Na Adui

Kwa mwimbishaji. Na ala za nyuzi za uimbaji. Utenzi wa Daudi. Wakati Wazifu walimwendea Sauli na kumjulisha, “Je, Daudi hajifichi miongoni mwetu?”

154:1 1Sam 24:15; 20:1; 2Nya 20:6Ee Mungu uniokoe kwa jina lako,

unifanyie hukumu kwa uwezo wako.

254:2 Za 4:1; 5:1; 55:1Ee Mungu, sikia maombi yangu,

usikilize maneno ya kinywa changu.

354:3 Za 36:1; 86:14; 18:48; 140:1, 4, 11; 1Sam 20:1Wageni wananishambulia,

watu wakatili wanayatafuta maisha yangu,

watu wasiomjali Mungu.

454:4 1Nya 5:20; Za 20:2; 18:35; Isa 41:10; Ebr 13:6; Rum 8:31, 32Hakika Mungu ni msaada wangu,

Bwana ndiye anayenitegemeza.

554:5 Kum 32:35; Isa 42:3; Mit 24:12; Za 89:49; 94:23Mabaya na yawarudie wale wanaonisingizia,

kwa uaminifu wako uwaangamize.

654:6 Law 7:12, 16; Ezr 1:4; Za 27:6; 44:8; 52:9; 138:2; 142:7; 145:1; 69:30Nitakutolea dhabihu za hiari;

Ee Bwana, nitalisifu jina lako

kwa kuwa ni vyema.

7Kwa maana ameniokoa katika shida zangu zote,

na macho yangu yamewatazama adui zangu kwa ushindi.