约书亚记 12 – CCB & NEN

Chinese Contemporary Bible (Simplified)

约书亚记 12:1-24

被击败的诸王

1以色列人在约旦河东岸杀死了两个王,占据了他们的领土:自亚嫩谷直到黑门山,包括东面的整个亚拉巴2这两个王一个是住在希实本亚摩利西宏。他统辖的地区从亚嫩谷旁的亚罗珥,包括山谷中部和基列的一半,直到亚扪人边境的雅博河。 3他的领土还包括约旦河谷东部:从加利利海至亚拉巴海,也就是盐海,到伯·耶西末,直到毗斯迦的山麓。 4另一个王是巴珊,他原是利乏音的遗民,住在亚斯她录以得来5他所统辖的地区包括黑门山、撒迦、整个巴珊,直到基述人和玛迦人的边境,还包括基列的另一半,直到希实本西宏的国界。 6耶和华的仆人摩西带领以色列人征服了这两个王,摩西把他们的土地分给吕便支派、迦得支派和玛拿西半个支派的人作产业。 7约书亚带领以色列人征服了约旦河西的诸王,占领的土地包括从黎巴嫩谷地的巴力·迦得直到西珥哈拉山。约书亚以色列的支派把这些土地分给以色列人。 8那里有山区、丘陵、河谷、山坡、旷野和南地,就是人、亚摩利人、迦南人、比利洗人、希未人、耶布斯人住的地方。 9这些王是耶利哥王、伯特利附近的王、 10耶路撒冷王、希伯仑王、 11耶末王、拉吉王、 12伊矶伦王、基色王、 13底璧王、基德王、 14何珥玛王、亚拉得王、 15立拿王、亚杜兰王、 16玛基大王、伯特利王、 17他普亚王、希弗王、 18亚弗王、拉沙仑王、 19玛顿王、夏琐王、 20伸仑·米仑王、押煞王、 21他纳王、米吉多王、 22基低斯王、迦密附近的约念王、 23多珥山上的多珥王、吉甲戈印王、 24得撒王,共三十一个王。

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)

Yoshua 12:1-24

Orodha Ya Wafalme Walioshindwa

112:1 Za 136:21; Hes 32:19; 21:13; Kum 3:8; Yos 11:2Hawa ndio wafalme wa nchi ambao Waisraeli waliwashinda na kuitwaa nchi yao upande wa mashariki mwa Yordani, kuanzia Bonde la Arnoni mpaka Mlima Hermoni, pamoja na eneo lote la upande wa mashariki ya Araba:

212:2 Yos 12:5; Hes 21:21-25; Yos 13:10; Amu 11:19; Hes 32:34; Yos 13:16; Mwa 19:38; 31:21; 32:22; Hes 32:26; Kum 2:36; 3:15; Yos 13:11, 25; 17:1; 20:8; 21:38; Amu 5:17; 7:3; 10:8Sihoni mfalme wa Waamori, ambaye alitawala huko Heshboni.

Alitawala kuanzia Aroeri kwenye ukingo wa Bonde la Arnoni, kuanzia katikati ya bonde, hadi kwenye Mto Yaboki, ambao ni mpaka wa Waamoni. Hii ilijumlisha nusu ya Gileadi. 312:3 Yos 11:2; Mwa 14:3; Hes 33:49; Yos 13:20; Hes 21:20Pia alitawala Araba ya mashariki kuanzia Bahari ya Kinerethi12:3 Yaani Bahari ya Galilaya. hadi Bahari ya Araba (yaani Bahari ya Chumvi12:3 Yaani Bahari Mfu.), hadi Beth-Yeshimothi, kisha kuelekea kusini chini ya materemko ya Pisga.

412:4 Hes 21:21; 33; Yos 13:30; Mwa 14:5; Kum 1:4Nayo nchi ya Ogu mfalme wa Bashani, aliyekuwa mmoja wa mabaki ya Warefai, aliyetawala Ashtarothi na Edrei.

512:5 Kum 3:10; Hes 32:33; Yos 17:1; 20:8; 21:27; 22:7; 13:2, 13; 1Sam 27:8; Kum 3:14Naye alitawala katika Mlima Hermoni, Saleka, Bashani yote hadi mpaka wa watu wa Geshuri, na watu wa Maaka na nusu ya Gileadi, hadi kwenye mpaka wa Sihoni mfalme wa Heshboni.

612:6 Kum 3:8; Hes 32:29-33; Yos 13:8Mose, mtumishi wa Bwana, na Waisraeli wakawashinda. Naye Mose mtumishi wa Bwana akawapa Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase nchi ya hao wafalme ili iwe milki yao.

712:7 Yos 11:17Hawa ndio wafalme wa nchi ambao Yoshua na Waisraeli waliwashinda upande wa magharibi mwa Yordani, kuanzia Baal-Gadi katika Bonde la Lebanoni hadi kufikia Mlima Halaki, unaoinuka ukielekea Seiri. (Yoshua alitoa nchi zao kwa makabila ya Israeli iwe urithi wao sawasawa na mgawanyiko wa makabila yao: 812:8 Ezr 9:1; Kum 1:7; Yos 3:10; 11:17nchi ya vilima, shefela, upande wa magharibi, Araba, materemko ya milima, jangwa, na Negebu; nchi za Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi):

912:9 Hes 33:48; Mwa 12:8; Yos 8:1; 7:2; 8:9; 18:13; Amu 1:23; 4:4; 20:18; 21:2; Neh 11:31mfalme wa Yeriko mmojamfalme wa Ai (karibu na Betheli) mmoja1012:10 Yos 10:1mfalme wa Yerusalemu mmojamfalme wa Hebroni mmoja1112:11 Yos 10:3mfalme wa Yarmuthi mmojamfalme wa Lakishi mmoja1212:12 Yos 10:3, 33mfalme wa Egloni mmojamfalme wa Gezeri mmoja13mfalme wa Debiri mmojamfalme wa Gederi mmoja1412:14 Hes 14:45; 21:1mfalme wa Horma mmojamfalme wa Aradi mmoja1512:15 Hes 33:20; Mwa 38:1; Yos 15:35; Mik 1:15mfalme wa Libna mmojamfalme wa Adulamu mmoja1612:16 Yos 10:10; 7:2mfalme wa Makeda mmojamfalme wa Betheli mmoja1712:17 Yos 15:34; 16:8; 17:8; 11:22; 1Fal 4:10mfalme wa Tapua mmojamfalme wa Heferi mmoja1812:18 Yos 13:4; 19:30; Amu 1:31; 1Sam 4:1; 29:1mfalme wa Afeki mmojamfalme wa Lasharoni mmoja1912:19 Yos 11:1mfalme wa Madoni mmojamfalme wa Hazori mmoja2012:20 Yos 11:1mfalme wa Shimron-Meroni mmojamfalme wa Akishafu mmoja2112:21 Yos 17:11; 21:25; Amu 1:27; 5:19; 1Fal 4:12mfalme wa Taanaki mmojamfalme wa Megido mmoja2212:22 Yos 15:23; 19:37; 20:7; 21:32; Amu 4:6-9; Yos 19:11; 21:34; 15:55; 19:26; 1Sam 15:12; 2Sam 23:35mfalme wa Kedeshi mmojamfalme wa Yokneamu katika Karmeli mmoja2312:23 Yos 11:2mfalme wa Dori (katika Nafoth-Dori) 12:23 Au: katika miinuko ya Nafoth-Dori.mmojamfalme wa Goimu katika Gilgali mmoja2412:24 1Fal 14:17; 15:33; 16:8, 23; Wim 6:4; Za 135:11; 136:18mfalme wa Tirsa mmoja

wafalme jumla yao ilikuwa thelathini na mmoja.