Chinese Contemporary Bible (Simplified)

希伯来书 5

1从人间选出来的大祭司,都是受委任代表人办理与上帝有关的事,为人的罪向上帝献上礼物和赎罪祭。 他能体谅那些无知和迷失的人,因为他自己也有人性的软弱。 所以,他不但要为众人的罪献祭,也要为自己的罪献祭。 没有人能自取这大祭司的尊荣,只有像亚伦一样蒙上帝呼召的人才可以做大祭司。

同样,基督也没有自取荣耀做大祭司,是上帝对祂说:

“你是我的儿子,
我今日成为你父亲。”

在圣经的另一处,上帝又说:

“你照麦基洗德的模式永远做祭司。”

基督在世为人的时候,曾经声泪俱下地祈求能救祂脱离死亡的上帝。祂因为敬虔而蒙了应允。 基督虽然是上帝的儿子,仍然从所受的苦难中学习了顺服。 祂既然达到了纯全的地步,就成了永恒救恩的源头,使所有顺服祂的人都得到拯救。 10 上帝照着麦基洗德的模式立祂做大祭司。

信徒要长进

11 关于这方面的事,我们还有很多话要说,但因为你们已经听不进去,很难向你们解释。 12 按你们学习的时间来算,你们本该做别人的老师了,可惜你们还需要别人向你们传授上帝话语的基本道理,成了不能吃干粮、只能吃奶的人。 13 因为只能吃奶的人还是婴孩,不熟习仁义的道理。 14 干粮是给成年人吃的,他们的心思历经锻炼,能够分辨善恶。

Neno: Bibilia Takatifu

Waebrania 5

Sifa Za Kuhani Mkuu

1Kwa maana kila kuhani mkuu anayechaguliwa miongoni mwa watu huteuliwa kumtumikia Mungu kwa niaba yao, kutoa sadaka na dhabihu kwa ajili ya dhambi zao. Anaweza kuwaonea huruma wale wasioel ewa na wanaopotoka kwa sababu yeye mwenyewe anasumbuliwa na udhaifu kama wao . Kwa sababu hii, anawajibika kutoa dhabihu kwa ajili ya dhambi zake mwenyewe na kwa ajili ya dhambi za hao watu.

Hakuna mtu anayejichagulia heshima hii ya kuwa kuhani mkuu. Kila mmoja huitwa na Mungu kama vile Haruni alivyoitwa.

Kristo hakujichagulia mwenyewe utukufu wa kuwa kuhani mkuu. Bali aliteuliwa na Mungu ambaye alimwambia, “Wewe ni mwanangu, leo hii nimekuzaa;” na tena kama asemavyo mahali pengine, “Wewe ni kuhani milele, katika ngazi ile ya ukuhani ya Mel kizedeki. Yesu alipokuwa akiishi duniani, alitoa dua na maombi kwa kilio kikuu na machozi kwa Mungu ambaye angeweza kumwokoa na kumtoa katika kifo, naye Mungu alimsikia kwa sababu alikuwa mnyenyekevu na mtiifu. Ingawa alikuwa Mwana wa Mungu, aliji funza utii kutokana na mateso aliyopata; na baada ya kufanywa mkamilifu, akawa chanzo cha wokovu wa milele kwa wote wanaomtii, 10 akateuliwa na Mungu kuwa kuhani mkuu wa ngazi ile ile ya

Onyo Kuhusu Kuanguka

11 Kuhusu ukuhani huu, tunayo mengi ya kusema ambayo ni mag umu kuyaeleza, kwa maana ninyi si wepesi wa kuelewa. 12 Ingawa kwa wakati huu mngalipaswa kuwa walimu, lakini bado mnahitaji mtu wa kuwafundisha tena hatua za kwanza za neno la Mungu. Mnahitaji maziwa, wala si chakula kigumu. 13 Kwa maana anayeishi kwa maziwa peke yake bado ni mtoto mchanga, hana ujuzi katika mafund isho kuhusu neno la haki. 14 Bali chakula kigumu ni kwa ajili ya watu wazima, watu ambao wamekomaa akili kutokana na mafunzo ya mazoezi ya kupambanua kati ya mema na mabaya.