Amplified Bible

2 Corinthians 8

Great Generosity

1Now, brothers and sisters, we want to tell you about the grace of God which has been evident in the churches of Macedonia [awakening in them a longing to contribute]; for during an ordeal of severe distress, their abundant joy and their deep poverty [together] overflowed in the wealth of their lavish generosity. For I testify that according to their ability, and beyond their ability, they gave voluntarily, begging us insistently for the privilege of participating in the service for [the support of] the saints [in Jerusalem]. Not only [did they give materially] as we had hoped, but first they gave themselves to the Lord and to us [as His representatives] by the will of God [disregarding their personal interests and giving as much as they possibly could]. So we urged Titus that, as he began it, he should also complete this gracious work among you as well.

But just as you excel in everything, [and lead the way] in faith, in speech, in knowledge, in genuine concern, and in your love for us, see that you excel in this gracious work [of giving] also. I am not saying this as a command [to dictate to you], but to prove, by [pointing out] the enthusiasm of others, the sincerity of your love as well. For you are recognizing [more clearly] the grace of our Lord Jesus Christ [His astonishing kindness, His generosity, His gracious favor], that though He was rich, yet for your sake He became poor, so that by His poverty you might become rich (abundantly blessed). 10 I give you my opinion in this matter: this is to your advantage, who were the first to begin a year ago not only to take action [to help the believers in Jerusalem], but also [the first] to desire to do it. 11 So now finish this, so that your eagerness in desiring it may be equaled by your completion of it, according to your ability. 12 For if the eagerness [to give] is there, it is acceptable according to what one has, not according to what he does not have. 13 For it is not [intended] that others be relieved [of their responsibility] and that you be [a]burdened [unfairly], but [b]that there be equality [in sharing the burden]— 14 at this present time your surplus [over necessities] is going to supply their need, so that [at some other time] their surplus may be given to supply your need, that there may be equality; 15 as it is written [in Scripture], “He who gathered much did not have too much, and he who gathered little did not lack.”

16 But thanks be to God who puts the same genuine concern for you in the heart of Titus. 17 For Titus not only accepted our appeal, but was so very interested in you that he has gone to visit you of his own accord. 18 And we have sent along with him the [c]brother who is praised in the gospel [ministry] throughout all the churches; 19 and not only this, but he has also been appointed by the churches to travel with us in regard to this gracious offering which we are administering for the glory of the Lord Himself, and to show our eagerness [as believers to help one another]. 20 We are taking precaution so that no one will [find anything with which to] discredit us in our administration of this generous gift. 21 For we have regard for what is honorable [and above suspicion], not only in the sight of the Lord, but also in the sight of men. 22 We have sent with them our brother, whom we have often tested and found to be diligent in many things, but who is now even more diligent [than ever] because of his great confidence in you. 23 As for Titus, he is my partner and fellow worker in your service; and as for the [other two] brothers, they are [special] [d]messengers of the churches, a glory and credit to Christ. 24 Therefore, show these men, in the sight of the churches, the proof of your love and our reason for being proud of you.

Notas al pie

  1. 2 Corinthians 8:13 Lit afflicted.
  2. 2 Corinthians 8:13 Lit from equality.
  3. 2 Corinthians 8:18 The identity of this man is unknown—perhaps it was Luke.
  4. 2 Corinthians 8:23 Lit apostles, but not a reference to the original apostles.

Neno: Bibilia Takatifu

2 Wakorintho 8

Kutoa Kwa Ukarimu

1Tunapenda mfahamu ndugu zetu, kuhusu neema ambayo Mungu amewapa makanisa ya Makedonia. Pamoja na majaribu makali na taabu walizopata, furaha yao na umaskini wao mkuu zimezaa utajiri wa ukarimu. Ninashuhudia kwamba walitoa kwa kadiri ya uwezo wao hata na zaidi ya uwezo wao. Kwa hiari yao wenyewe, walitusihi wapewe nafasi ya kushiriki katika huduma hii ya kuwasaidia watu wa Mungu. Na hawakufanya tulivyotazamia bali walijitoa wao wenyewe kwa Bwana kwanza na ndipo wakajitoa kwetu, kufuatana na mapenzi ya Mungu. Kwa hiyo tulimwagiza Tito, kwa kuwa ndiye aliyeanzisha jambo hili, akamilishe kazi hii ya neema pia kwa upande wenu. Basi, kama mlivyo mbele sana katika yote: katika imani, katika kutamka, katika juhudi na katika kutupenda, hakik isheni kuwa mnakuwa wa kwanza pia katika neema hii ya kutoa.

Siwapi amri, lakini nawaonyesha jinsi wengine walivyo tay ari kutoa ili kupima ukweli wa upendo wenu. Kwa maana mnajua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, ambaye ingawa alikuwa tajiri, alikubali kuwa maskini kwa ajili yenu, ili kwa umaskini wake ninyi mpate kuwa matajiri. 10 Ushauri wangu kuhusu jambo hili ni huu. Ni vyema mkamilishe sasa jambo ambalo mlinia na mkaanza kulifanya tangu mwaka jana 11 ili wepesi wenu katika kunia ulin gane na kumaliza kwenu kutoa kwa kadiri ya mlicho nacho. 12 Kwa kuwa kama nia ya kutoa ipo, kitolewacho kinakubalika kufuatana na kile mtu alicho nacho, si kufuatana na kile ambacho mtu hana. 13 Nia yetu si kwamba wengine wasaidike wakati ninyi mnateseka bali pawe na uwiano. 14 Kwa wakati huu wingi wa vitu mlivyonavyo usaidie kutosheleza mahitaji yao, ili wakati wao wakiwa na wingi wa vitu, nao wapate kutosheleza mahitaji yenu. 15 Ndipo patakuwa na usawa, kama maandiko yanavyosema, “Aliyekusanya kwa wingi, hakubakiza kitu, na aliyekusanya kidogo hakupungukiwa.”

Tito Anatumwa Korintho

16 Tunamshukuru Mungu ambaye amempa Tito moyo wa kuwajali ninyi kama mimi ninavyowajali. 17 Si kwamba amekubali ombi letu tu, bali anakuja kwenu akiwa na ari na kwa hiari yake mwenyewe. 18 Pamoja naye tunamtuma ndugu ambaye anasifiwa na makanisa yote kwa huduma yake ya kuhubiri Injili. 19 Zaidi ya hayo, amechagu liwa na makanisa asafiri nasi kupeleka matoleo haya. Hii ni huduma ambayo tunafanya kwa utukufu wa Bwana na pia kuonyesha nia yetu ya kuwasaidia wengine. 20 Tumenuia kwamba mtu ye yote asiwe na sababu ya kutulaumu kuhusu jinsi tunavyosima mia matoleo haya ya ukarimu. 21 Tunajitahidi kuhakikisha kuwa tunafanya haki machoni pa Bwana na machoni penu, na wala si kama sisi tuonavyo vyema. 22 Pamoja na hawa, tunamtuma ndugu yetu ambaye tumempima mara nyingi tukamwona kuwa wa kweli na mwenye juhudi, hasa zaidi sana kwa kuwa ana imani kubwa kwenu. 23 Kumhusu Tito, yeye ni mwenzangu na mfanyakazi pamoja nami kwa ajili yenu. Kuhusu hawa ndugu wengine, wao ni wawakilishi wa makanisa, nao wanamletea Kristo utukufu. 24 Kwa hiyo, waonyesheni hawa ndugu upendo wenu na sababu inayotufanya tujivune kwa ajili yenu, ili makanisa yote yapate kuona.